top of page
Huduma Zetu
WILD AFRICA LOGISTICS LIMITED Inatoa huduma inayokufaa kwa mahitaji yako ya usafirishaji mizigo katika Nchi zote jiarni. Tunasafirisha Mizigo ya aina zote kama vile Mizigo ya Kontena, Mizigo ya wazi na Mizigo Maalum (yaani kama vile Kemikali). Kwa Malori na Trela zetu mpya za kisasa na madhubuti, tunahakikisha usalama na uwasilishaji kwa wakati wa mizigo yako ya thamani.
Daima tunajitahidi kufikia na kuzidi matarajio ya wateja wetu katika kuwapatia huduma bora katika sekta ya usafirishaji.
bottom of page